Mama anayenyonyesha anahitaji nishati ya ziada kuliko kawaida kwa sababu mwili unatumia nguvu nyingi kutengeneza maziwa.
Osha matiti kwa maji safi. Epuka kutumia sabuni kali kwenye chuchu kwani zinaweza kukausha mafuta asilia na kusababisha chuchu kupasuka (cracked nipples). MAMBO MUHIMU YAKUZINGATIA KWA MAMA ANAYENYONYESHA
Titi kuwa jekundu, gumu, na lenye maumivu makali (linaweza kuwa ni maambukizi ya Mastitis ). Homa kali na baridi. Chuchu kutoa usaha au damu. Mtoto kugoma kunyonya kabisa au kutoongezeka uzito. na mafuta yenye afya). Protini (maharage
Mama anapaswa kuwa mwangalifu na dalili zifuatazo na awahi hospitali: MAMBO MUHIMU YAKUZINGATIA KWA MAMA ANAYENYONYESHA
Kula vyakula kutoka makundi yote (wanga, protini, mbogamboga, matunda, na mafuta yenye afya). Protini (maharage, nyama, samaki, mayai) ni muhimu kwa ukuaji wa mtoto.